sw_tn/deu/06/18.md

258 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja.

Utafanya kilicho sawa na kizuri mbele ya Yahwe

Hii nahau ni amri na baraka. Kama wanaisraeli wanamtii Yahwe, watapokea baraka kutoka kwa Yahwe.