sw_tn/deu/06/16.md

347 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja.

Hauta mjaribu Yahwe

Hapa "kujaribu" ina maana kutoa changamoto kwa Yahwe na kumlazimisha kujithibitisha.

Massah

Hili ni jina la eneo huko jangwani. Mtofasiri anaweza kuongeza maneno kusema: "Jina la 'Massah' umaanisha 'kujaribu'