# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja. # Hauta mjaribu Yahwe Hapa "kujaribu" ina maana kutoa changamoto kwa Yahwe na kumlazimisha kujithibitisha. # Massah Hili ni jina la eneo huko jangwani. Mtofasiri anaweza kuongeza maneno kusema: "Jina la 'Massah' umaanisha 'kujaribu'