sw_tn/deu/06/10.md

356 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja.

kubwa na miji mizuri sana ambayo hamkujenga

Miji hii yote itakuwa ya watu wa Israeli wakati wanawateka watu wa Canaan.

nje ya nyumba ya utumwa

Hapa maneno "nyumba ya utumwa" urejea kwa Misri, eneo ambalo watu wa Israeli walikuwa watumwa.