# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwaambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja. # kubwa na miji mizuri sana ambayo hamkujenga Miji hii yote itakuwa ya watu wa Israeli wakati wanawateka watu wa Canaan. # nje ya nyumba ya utumwa Hapa maneno "nyumba ya utumwa" urejea kwa Misri, eneo ambalo watu wa Israeli walikuwa watumwa.