sw_tn/deu/06/01.md

537 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea na hotuba kwa watu wa Israeli anaanza 5:1. Kuanzia mstari wa 2, anazungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja.

kushika kwa nguvu...kushika

"utii kwa nguvu...kutii"

kwenda zaidi ya Yordani

"kwenda upande mwingine wa mto Yordani"

kwamba siku zako ziweze kuongezeka

Siku ndefu ni mfano wa maisha marefu. Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji. Hii inaweza kutofasiriwa sawasawa na "kuongeza siku zako" 4:25 "kwamba niweze kuongeza siku zako" au "kwamba nikusababishe uishi muda mrefu"