sw_tn/deu/06/01.md

16 lines
537 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea na hotuba kwa watu wa Israeli anaanza 5:1. Kuanzia mstari wa 2, anazungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja.
# kushika kwa nguvu...kushika
"utii kwa nguvu...kutii"
# kwenda zaidi ya Yordani
"kwenda upande mwingine wa mto Yordani"
# kwamba siku zako ziweze kuongezeka
Siku ndefu ni mfano wa maisha marefu. Hii inaweza kutajwa kwa kauli tendaji. Hii inaweza kutofasiriwa sawasawa na "kuongeza siku zako" 4:25 "kwamba niweze kuongeza siku zako" au "kwamba nikusababishe uishi muda mrefu"