sw_tn/deu/05/23.md

8 lines
254 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kile kilichotokea nyuma
# kusikia sauti
Neno "sauti" ni maneno kwa ajili ya mlio wa sauti au kwa ajili ya mtu aliyekuwa anazungumza. "kusikia mlio wa sauti" au "kusikia Yahwe anazungumza"