# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kile kilichotokea nyuma # kusikia sauti Neno "sauti" ni maneno kwa ajili ya mlio wa sauti au kwa ajili ya mtu aliyekuwa anazungumza. "kusikia mlio wa sauti" au "kusikia Yahwe anazungumza"