sw_tn/deu/05/17.md

278 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na "yako" ni umoja

Hautazini

"Hautalala na yoyote tofauti na mwenzi wako"

Hautashuhudia uongo dhidi ya jirani yako

"Hautasema uongo kuhusu mtu yeyote"