# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na "yako" ni umoja # Hautazini "Hautalala na yoyote tofauti na mwenzi wako" # Hautashuhudia uongo dhidi ya jirani yako "Hautasema uongo kuhusu mtu yeyote"