sw_tn/deu/04/39.md

410 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na "yako" ni umoja

iweke juu ya moyo wako

Hii ni nahau. "ikumbuke"

mbinguni zaidi na chini ya dunia

Haya maneno "mbinguni" na "duniani" uonyesha kukubwa kuwili na ina maanisha "kila sehemu."

kuongoza siku zako

Siku ndefu ni mfano wa maisha marefu. "kuweza kuishi maisha marefu."