sw_tn/deu/04/39.md

16 lines
410 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na "yako" ni umoja
# iweke juu ya moyo wako
Hii ni nahau. "ikumbuke"
# mbinguni zaidi na chini ya dunia
Haya maneno "mbinguni" na "duniani" uonyesha kukubwa kuwili na ina maanisha "kila sehemu."
# kuongoza siku zako
Siku ndefu ni mfano wa maisha marefu. "kuweza kuishi maisha marefu."