sw_tn/deu/04/29.md

537 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli. Anazungumza kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na "wako" ni umoja.

Lakini kutoka huko

"Lakini wakati mlipokuwa katika mataifa yale mengine"

utatafuta

Neno "u" hapa ni wingi.

wakati utakapo nitafuta

"wakati unapojaribu kumtafuta yeye" au " wakati unajaribu kumjua yeye"

kwa moyo wako na nafsi yako

Hii ni nahau "kwa ote....moyo" unamaanisha "kabisa" na pamoja na ote...nafsi" umaanisha "na utu wetu wote." Haya maneno yana maana ile ile.