# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli. Anazungumza kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na "wako" ni umoja. # Lakini kutoka huko "Lakini wakati mlipokuwa katika mataifa yale mengine" # utatafuta Neno "u" hapa ni wingi. # wakati utakapo nitafuta "wakati unapojaribu kumtafuta yeye" au " wakati unajaribu kumjua yeye" # kwa moyo wako na nafsi yako Hii ni nahau "kwa ote....moyo" unamaanisha "kabisa" na pamoja na ote...nafsi" umaanisha "na utu wetu wote." Haya maneno yana maana ile ile.