sw_tn/deu/04/25.md

32 lines
997 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# unazaa... Yahwe Mungu wenu
Maneno "wewe" na "wako" ni umoja hapa.
# kuzaa
unakuwa baba wa, au unakuwa babu wa
# kama mnakuwa na tabia mbaya wenyewe
"kama mnafanya vibaya." maneno ya kufanana yanaonekana katika 4:15
# na fanya kile kilicho kibaya mbele ya Yahwe Mungu wenu, kumkasirisha hasira yake
Hii ni nahau. "na unamfanya Yahwe Mungu wenu kukasirika kwa kufanya kile anachosema ni kiovu"
# Naita mbingu na dunia kushuhudia
Maana zinazowezekana ni 1) Musa anaita wote wale wanaoishi mbinguni na duniani kuwa mashahidi kwa kile anachosema au 2) Musa anazungumza na mbingu na dunia kama walikuwa watu, na anawaita kuwa mashahidi kwa kile anachokisema.
# utaziongeza siku zako
Siku ndefu ni mfano wa maisha marefu.
# lakini utaangamiza kabisa
Kama inavyoonyeshwa katika 4:27, si kila mwisraeli atauwawa. Hapa "kuharibu kabisa" ni kusisitiza kwamba wanaisraeli wengi watakufa. "lakini Yahwe atawaangamiza wengi wao"