sw_tn/deu/04/25.md

997 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

unazaa... Yahwe Mungu wenu

Maneno "wewe" na "wako" ni umoja hapa.

kuzaa

unakuwa baba wa, au unakuwa babu wa

kama mnakuwa na tabia mbaya wenyewe

"kama mnafanya vibaya." maneno ya kufanana yanaonekana katika 4:15

na fanya kile kilicho kibaya mbele ya Yahwe Mungu wenu, kumkasirisha hasira yake

Hii ni nahau. "na unamfanya Yahwe Mungu wenu kukasirika kwa kufanya kile anachosema ni kiovu"

Naita mbingu na dunia kushuhudia

Maana zinazowezekana ni 1) Musa anaita wote wale wanaoishi mbinguni na duniani kuwa mashahidi kwa kile anachosema au 2) Musa anazungumza na mbingu na dunia kama walikuwa watu, na anawaita kuwa mashahidi kwa kile anachokisema.

utaziongeza siku zako

Siku ndefu ni mfano wa maisha marefu.

lakini utaangamiza kabisa

Kama inavyoonyeshwa katika 4:27, si kila mwisraeli atauwawa. Hapa "kuharibu kabisa" ni kusisitiza kwamba wanaisraeli wengi watakufa. "lakini Yahwe atawaangamiza wengi wao"