sw_tn/deu/04/15.md

16 lines
302 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu Israeli
# Kwa hiyo chukua tahadhari kubwa mwenyewe
Maana 1) "Kwa hiyo unahitaji kuwa makini namna unavyotenda" au 2) "Linda nafsi yako kwa makini."
# usiwe fisadi mwenyewe
"usifanye kile kilichokibaya"
# huenda kwa ardhi
tambaa juu ya ardhi"