sw_tn/deu/04/15.md

302 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu Israeli

Kwa hiyo chukua tahadhari kubwa mwenyewe

Maana 1) "Kwa hiyo unahitaji kuwa makini namna unavyotenda" au 2) "Linda nafsi yako kwa makini."

usiwe fisadi mwenyewe

"usifanye kile kilichokibaya"

huenda kwa ardhi

tambaa juu ya ardhi"