sw_tn/deu/03/18.md

16 lines
415 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Nilikuamuru kwa wakati huo
Musa anawakumbusha kabila la Reubeni, kabila la Gadi, na nusu ya kabila la Manasseh kwamba wanapaswa kuwasaidia waisraeli wengine kushinda nchi ambayo Mungu aliwaahidi.
# tutapita tukiwa na silaha mbele
"tutachukua silaha zao na kuvuka mto Yordani mbele yao"
# ndugu zenu, watu wa Israeli
"ndugu zenu wanaisraeli"