sw_tn/deu/03/18.md

415 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Nilikuamuru kwa wakati huo

Musa anawakumbusha kabila la Reubeni, kabila la Gadi, na nusu ya kabila la Manasseh kwamba wanapaswa kuwasaidia waisraeli wengine kushinda nchi ambayo Mungu aliwaahidi.

tutapita tukiwa na silaha mbele

"tutachukua silaha zao na kuvuka mto Yordani mbele yao"

ndugu zenu, watu wa Israeli

"ndugu zenu wanaisraeli"