sw_tn/deu/03/17.md

331 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli

Moja ya mipaka mingine pia

"Mpaka wa magharibi wa Rubeni na wilaya ya Gadi"

Chinnerethi

"bahari ya mchumvi." Hili ni eneo sawa kama "Bahari ya Galilaya" au "Ziwa la Genesareti"

Mlima Pisgah

Hili ni jina la mlima huko sehemu ya kaskazini wa mlima Abarimu