# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli # Moja ya mipaka mingine pia "Mpaka wa magharibi wa Rubeni na wilaya ya Gadi" # Chinnerethi "bahari ya mchumvi." Hili ni eneo sawa kama "Bahari ya Galilaya" au "Ziwa la Genesareti" # Mlima Pisgah Hili ni jina la mlima huko sehemu ya kaskazini wa mlima Abarimu