sw_tn/deu/03/11.md

606 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli

Kwa masalio...namna watu wanavyopima

Hii ni taarifa ya nyumba kuhusu mfalme Ogi

Tazama!

"Zingatia mambo muhimu ambayo naenda kukuambia"

Haikuwa kwa Rabbah..kuishi?

Mwandishi anatumia swali kuwakumbusha watu wa Israel kwamba wataweza kwenda Rabbab na kuona namna alivyofikia ukubwa Ogi. Hili swali linaweza kutofasiriwa kama maelezo . Maana zinazowezekana ni 1) "Ilikuwa ni huko Rabbah, ...kuishi." 2)"Ni huko Rabbah... kuishi."

thiraa

Thiraa ni sentimeta 46

namna watu wanapima

"kulingana na thiraa watu wengi wanatumia"