# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli # Kwa masalio...namna watu wanavyopima Hii ni taarifa ya nyumba kuhusu mfalme Ogi # Tazama! "Zingatia mambo muhimu ambayo naenda kukuambia" # Haikuwa kwa Rabbah..kuishi? Mwandishi anatumia swali kuwakumbusha watu wa Israel kwamba wataweza kwenda Rabbab na kuona namna alivyofikia ukubwa Ogi. Hili swali linaweza kutofasiriwa kama maelezo . Maana zinazowezekana ni 1) "Ilikuwa ni huko Rabbah, ...kuishi." 2)"Ni huko Rabbah... kuishi." # thiraa Thiraa ni sentimeta 46 # namna watu wanapima "kulingana na thiraa watu wengi wanatumia"