sw_tn/deu/03/03.md

642 B

na watu wake wote waliwekwa chini ya utawala wetu

Hii inaweza kutajwa katika hali tendaji. "na Yahwe aliwaweka watu wa Ogi chini ya utawala wetu"

tulimpiga kufa

Neno "tu" urejea kwa neno badala la watu wake wote. "tuliwauwa watu wake wote"

hakuna hata mmoja wa watu wake walibaki

Hii ni neno rahisi linalotumika kusisitiza kwamba wanasraeli hawakuacha yeyote kuishi. "watu wake wote waliuwawa"

hapakuwa na mji mmoja ambao hatukuuchukua

Hii ni maradufu ya hasi ambayo inasisitiza kwamba walichukua miji 60 yote. "tulichukua kila mmoja ya miji"

miji sitini

"60 miji"

mkoa wa Argobi

Hili ni jina la mkoa ndani ya Bashani