# na watu wake wote waliwekwa chini ya utawala wetu Hii inaweza kutajwa katika hali tendaji. "na Yahwe aliwaweka watu wa Ogi chini ya utawala wetu" # tulimpiga kufa Neno "tu" urejea kwa neno badala la watu wake wote. "tuliwauwa watu wake wote" # hakuna hata mmoja wa watu wake walibaki Hii ni neno rahisi linalotumika kusisitiza kwamba wanasraeli hawakuacha yeyote kuishi. "watu wake wote waliuwawa" # hapakuwa na mji mmoja ambao hatukuuchukua Hii ni maradufu ya hasi ambayo inasisitiza kwamba walichukua miji 60 yote. "tulichukua kila mmoja ya miji" # miji sitini "60 miji" # mkoa wa Argobi Hili ni jina la mkoa ndani ya Bashani