sw_tn/deu/02/30.md

627 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu kwa kile kilichotokea nyuma.

Sihoni...Heshbon

Haya ni majina ya mwanaume na eneo

Mungu wako...uwezo wako

Musa anazungumza kwa wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" viko katika umoja

kufanya akili yake kuwa ngumu na kufanya moyo wake wa ukaidi

Ote maneno yanamaanisha kitu kilekile na kusisitiza kwamba Yahwe "alisababisha afanyike kaida sana."

kuwaokoa Sihon na nchi yake mbele yako

"kukupa Sihoni na nchi yake kwako"

anza kuimiliki, ili kwamba uweze kuirithi nchi yake

"chukua miliki ya nchi yake, ili kwamba uweze kuimiliki"