sw_tn/deu/02/30.md

24 lines
627 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwakumbusha watu kwa kile kilichotokea nyuma.
# Sihoni...Heshbon
Haya ni majina ya mwanaume na eneo
# Mungu wako...uwezo wako
Musa anazungumza kwa wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" viko katika umoja
# kufanya akili yake kuwa ngumu na kufanya moyo wake wa ukaidi
Ote maneno yanamaanisha kitu kilekile na kusisitiza kwamba Yahwe "alisababisha afanyike kaida sana."
# kuwaokoa Sihon na nchi yake mbele yako
"kukupa Sihoni na nchi yake kwako"
# anza kuimiliki, ili kwamba uweze kuirithi nchi yake
"chukua miliki ya nchi yake, ili kwamba uweze kuimiliki"