sw_tn/deu/02/23.md

421 B

Taarifa ya ujumla

Mwandishi anamalizia kufafanua namna Mungu alivyomuwezesha Esau kuchukua nchi ambayo Esau anaishi kwa sasa

Avvites...Caphtorim

Haya ni majina ya makundi ya watu

Caphtor

Hili ni jina la eneo. Inaweza kuwa jina jingine la kisiwa cha Krete kinachopatikana katika bahari ya Mediterranean.

kuwaangamiza

"kuwaangamiza Avvim"

waliishi kwenye eneo lao

"waliishi ambako Avvim waliwahi kuishi"