# Taarifa ya ujumla Mwandishi anamalizia kufafanua namna Mungu alivyomuwezesha Esau kuchukua nchi ambayo Esau anaishi kwa sasa # Avvites...Caphtorim Haya ni majina ya makundi ya watu # Caphtor Hili ni jina la eneo. Inaweza kuwa jina jingine la kisiwa cha Krete kinachopatikana katika bahari ya Mediterranean. # kuwaangamiza "kuwaangamiza Avvim" # waliishi kwenye eneo lao "waliishi ambako Avvim waliwahi kuishi"