sw_tn/deu/01/29.md

24 lines
706 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aliendelea kuwakumbusha watu wa Israel nini kizazi kilichopita cha Israel kilivyofanya.
# Nilikuambia
"Niliwambia mababu zenu"
# mbele ya macho yenu
Hapa maneno haya "mbele ya macho yenu" urejea kile walichokiona.
# ulichokiona...Yahwe Mungu wenu aliwabeba...mlienda...mlikuja
Musa anazungumza na wana Israel kama walikuwa mtu mmoja, basi mifano ya "wewe" na "vyako" ni umoja.
# Yahwe Mungu wenu aliwabeba, kama mtu anavyombeba mtoto wake.
Hapa kujali kwa Yahwe kwa watu wake kunalinganishwa kama kwa baba. "Yahwe Mungu wenu amewajali, kama baba anavyomjali mtoto wake"
# mpaka ulipokuja katika eneo hili
"mpaka ulipokuja katika nchi hii ambayo Mungu ameahidi kukupa"