sw_tn/deu/01/29.md

706 B

Taarifa ya ujumla

Musa aliendelea kuwakumbusha watu wa Israel nini kizazi kilichopita cha Israel kilivyofanya.

Nilikuambia

"Niliwambia mababu zenu"

mbele ya macho yenu

Hapa maneno haya "mbele ya macho yenu" urejea kile walichokiona.

ulichokiona...Yahwe Mungu wenu aliwabeba...mlienda...mlikuja

Musa anazungumza na wana Israel kama walikuwa mtu mmoja, basi mifano ya "wewe" na "vyako" ni umoja.

Yahwe Mungu wenu aliwabeba, kama mtu anavyombeba mtoto wake.

Hapa kujali kwa Yahwe kwa watu wake kunalinganishwa kama kwa baba. "Yahwe Mungu wenu amewajali, kama baba anavyomjali mtoto wake"

mpaka ulipokuja katika eneo hili

"mpaka ulipokuja katika nchi hii ambayo Mungu ameahidi kukupa"