sw_tn/deu/01/26.md

859 B

Taarifa ya ujumla:

Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel kile kizazi cha awali cha wanaisraeli walifanya.

Bado mlikataa kuvamia

Mungu aliwaamuru wanaisraeli kuvamia na kuwamaliza Wamorites, lakini wanaisraeli waliwaogopa na kukataa kupigana nao.

katika mkono wa Wamorites

Hapa "katika mkono" anamaanisha kuwapa Wamorites nguvu juu yao.

Tuende wapi sasa?

Hapa swali hili linasisitiza namna gani walikuwa wameogopa. Swali hili la fumbo linaweza kutofasiriwa kama maelezo.

kufanya mioyo yetu kusinyaa

Hii inamaanisha kwamba waliogopa.

na yenye boma kuelekea mbinguni

Huku ni kutia chumvi ambako kunasisitiza namna ya watu waliovyotishwa walivyokuwa kwa sababu miji ilikuwa mipana na imara.

yenye boma kuelekea juu

"kuwa na kuta ambazo ziko juu kama"

wana wa Anakimu

Hawa ni wazao wa Anak watu ambayo walikuwa wakubwa na katili