sw_tn/deu/01/26.md

32 lines
859 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla:
Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel kile kizazi cha awali cha wanaisraeli walifanya.
# Bado mlikataa kuvamia
Mungu aliwaamuru wanaisraeli kuvamia na kuwamaliza Wamorites, lakini wanaisraeli waliwaogopa na kukataa kupigana nao.
# katika mkono wa Wamorites
Hapa "katika mkono" anamaanisha kuwapa Wamorites nguvu juu yao.
# Tuende wapi sasa?
Hapa swali hili linasisitiza namna gani walikuwa wameogopa. Swali hili la fumbo linaweza kutofasiriwa kama maelezo.
# kufanya mioyo yetu kusinyaa
Hii inamaanisha kwamba waliogopa.
# na yenye boma kuelekea mbinguni
Huku ni kutia chumvi ambako kunasisitiza namna ya watu waliovyotishwa walivyokuwa kwa sababu miji ilikuwa mipana na imara.
# yenye boma kuelekea juu
"kuwa na kuta ambazo ziko juu kama"
# wana wa Anakimu
Hawa ni wazao wa Anak watu ambayo walikuwa wakubwa na katili