forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
598 B
Markdown
20 lines
598 B
Markdown
# Taarifa ya ujumla:
|
|
|
|
Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel kile kizazi cha awali cha wanaisraeli walifanya
|
|
|
|
# Walichukua
|
|
|
|
"Wanaume 12 walichukua"
|
|
|
|
# walichukua baadhi ya mazao ya nchi katika mikono yao
|
|
|
|
"walichukua baadhi ya mazao ya nchi"
|
|
|
|
# walileta kwetu neno na kusema
|
|
|
|
Msemaji anazungumza kama vile "neno" vilikuwa vitu halisi ambavyo mtu fulani angeweza kuleta.
|
|
|
|
# walisema, Ni nchi nzuri ambayo Yahwe Mungu wetu anatupa sisi!
|
|
|
|
Nukuu ya moja kwa moja inaweza kutofasiriwa kama nukuu ambayo siyo ya moja kwa moja. "kusema kuwa nchi ambayo Yahwe Mungu wetu alikuwa anatupa ilikuwa nzuri"
|