sw_tn/deu/01/25.md

598 B

Taarifa ya ujumla:

Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel kile kizazi cha awali cha wanaisraeli walifanya

Walichukua

"Wanaume 12 walichukua"

walichukua baadhi ya mazao ya nchi katika mikono yao

"walichukua baadhi ya mazao ya nchi"

walileta kwetu neno na kusema

Msemaji anazungumza kama vile "neno" vilikuwa vitu halisi ambavyo mtu fulani angeweza kuleta.

walisema, Ni nchi nzuri ambayo Yahwe Mungu wetu anatupa sisi!

Nukuu ya moja kwa moja inaweza kutofasiriwa kama nukuu ambayo siyo ya moja kwa moja. "kusema kuwa nchi ambayo Yahwe Mungu wetu alikuwa anatupa ilikuwa nzuri"