sw_tn/deu/01/05.md

12 lines
320 B
Markdown

# Zaidi ya Yordani
Hii urejea kwa nchi kuvuka mto wa Yordani, mashariki mwa Israeli. Musa alikuwa mashariki mwa Yordani aliposema hivi.
# kuzunguma nasi
Neno "nasi" urejea kwa Musa na watu wengine wa Israel.
# Umeishi muda wa kutosha katika nchi ya mlima
Hii ni nahau. "Hauhitaji kukaa karibu na mlima zaidi tenda.