sw_tn/deu/01/05.md

320 B

Zaidi ya Yordani

Hii urejea kwa nchi kuvuka mto wa Yordani, mashariki mwa Israeli. Musa alikuwa mashariki mwa Yordani aliposema hivi.

kuzunguma nasi

Neno "nasi" urejea kwa Musa na watu wengine wa Israel.

Umeishi muda wa kutosha katika nchi ya mlima

Hii ni nahau. "Hauhitaji kukaa karibu na mlima zaidi tenda.