sw_tn/dan/11/31.md

32 lines
815 B
Markdown

# Majeshi yake yatainuka
"Jeshi lake litatokea" au "jeshi lake litakuja" Neno "lake" linamrejelea mfalme wa Kaskazini.
# sehemu takatifu katika ngome
"sehemu takatifu ambayo watu huitumia kama ngome"
# Wataziondoa sadaka za kawaida
Kuondolewa kwa sadaka kunawakilisha kuwazuia watu wasitoe sadaka. "Watawazuia makuhani wasitoe sadaka za kawaida za kuteketezwa"
# chukizo la uharibifu litakalosababisha ukiwa.
Hii inarejelea sanamu ambayo italifanya hekalu kuwa ukiwa, hii ina maana kwamba itamfanya Mungu aliache hekalu lake.
# walioenenda kwa ouvu kinyume na agano
"waliliasi agano kwa kutenda uovu"
# kuwatia uovu
"kuwashawishi watende dhambi"
# wale wanaomjua Mungu wao
Mahali hapa neno "kujua" lina maana ya "kuwa mwaminifu,"
# watakuwa jasiri na watachukua hatua.
"watakuwa imara na kuwapinga"