sw_tn/dan/10/18.md

16 lines
355 B
Markdown

# ule mwenye mwonekano wa mtu
"Yeye anayeonekana kama mtu"
# Uwe mwenye nguvu, uwe na nguvu
Maneno "Uwe mwenye nguvu" yamerudiwa kwa ajili ya kutia mkazo.
# mtu ulithaminiwa sana
Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "wewe ambaye Mungu amekuthamini sana"
# umenitia nguvu
Kauli hii pia yaweza kuandikwa kwa muundo tendaji."Nilikuwa mwenye nguvu"