# ule mwenye mwonekano wa mtu "Yeye anayeonekana kama mtu" # Uwe mwenye nguvu, uwe na nguvu Maneno "Uwe mwenye nguvu" yamerudiwa kwa ajili ya kutia mkazo. # mtu ulithaminiwa sana Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "wewe ambaye Mungu amekuthamini sana" # umenitia nguvu Kauli hii pia yaweza kuandikwa kwa muundo tendaji."Nilikuwa mwenye nguvu"