sw_tn/dan/10/12.md

16 lines
414 B
Markdown

# ulipoiweka akili yako kutaka kufahamu
"ulihitaji kufahamu maono"
# maneno yako yalisikiwa
Kauli hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Mungu aliyasikia maneno yako"
# Mwana wa mfalme
hii inarejelea roho ambayo ina mamlaka juu ya taifa la mtu.
# mfalme wa Uajemi
Hii huenda inarejelea wafalme mbalimbali waliotawala mataifa mbalimbali katika dola ya Uajemi, na wale waliopaswa kumtii mfalme wa Uajemi.