sw_tn/dan/09/07.md

24 lines
684 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Danieli anaendelea kumwomba Bwana kwa ajili ya watu wa Israeli.
# Kwako Bwana, kuna uadilifu
Nomino dhahania "uadilifu" yaweza kuelezwa kwa kutumia kitenzi. "Bwana, wewe unatenda kwa uadilifu"
# Hata hivyo, kwetu kuna aibu katika nyuso zetu, kwa..
Nomino dhania "aibu" yaweza kuelezwa kama kitenzi. "Lakini kwetu, tumeaibika kwa ajili ya hayo ambayo tumeyatenda"
# kwetu sisi
neno "sis" linamjumuisha Danile na waisraeli, lakini halimjumuishi Mungu.
# kuna aibu katika nyuso
Nahau hii ina maana ya aibu yao inaonekana kwa watu wote.
# kwasababu ya udanganyifu mkubwa tulioufanya
"kwa kuwa tumekusaliti wewe " au "kwasababu tumekuwa si waaminifu kwako"