sw_tn/dan/09/01.md

24 lines
855 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Sura ya 7 na ya 8 haziko katika mtririko wa moja kwa moja. Zilitokea wakati Belshaza alipokuwa akali ni mfalme. Sura ya 8 imeyarudia matukio ya utawala wa Dario ambaye alikuwa mfalme katika sura ya 6.
# Alikuwa na Ahasuero ambaye alifanywa mfalme juu ya ufalme wa watu wa Babeli.
Haya ni maelezo ya nyuma kumhusu Ahasuero alikuwa ni nani.
# ambaye alifanywa mfalme juu ya ufalme wa watu wa Babeli.
Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "ambaye alikuwa mfalme juu ya Wababeli" au "ambaye aliwashinda Wababeli."
# juu ya ufalme
"juu ya nchi"
# kungekuwa na miaka sabini hadi mwisho wa kuachwa kwa Yerusalemu ungefika.
"tangu kipindi cha kuangushwa kwa Yerusalemu, itabaki katika hali ya ukiwa kwa miaka 70"
# kuachwa
Hii ina maana ya kwamba hakuna ambaye angeweza kusaidia au kuijenga tena Yerusalemu katika kipindi kile.