sw_tn/dan/08/27.md

12 lines
320 B
Markdown

# nilichoka sana na nikalala nikiwa dhaifu kwa siku kadhaa
"alikuwa amechoka na alilala kitandani akiwa anaumwa kwa siku kadhaa"
# nikaenda kufanya kazi za mfalme
"nilifanya kazi ambazo Mfalme alikuwa amenipangia"
# nilikuwa nimetishwa sana na maono
"Nilikuwa nimeshangazwa na maono" au " nilichanganywa na maono"