# nilichoka sana na nikalala nikiwa dhaifu kwa siku kadhaa "alikuwa amechoka na alilala kitandani akiwa anaumwa kwa siku kadhaa" # nikaenda kufanya kazi za mfalme "nilifanya kazi ambazo Mfalme alikuwa amenipangia" # nilikuwa nimetishwa sana na maono "Nilikuwa nimeshangazwa na maono" au " nilichanganywa na maono"