sw_tn/dan/05/29.md

16 lines
377 B
Markdown

# Mkufu wa dhahabu walimvisha shingoni
Hii yaweza kuelelzwa kwa muundo tendaji. " Waliuweka mkufu wa dhahabu shingoni mwake"
# mtawala mwenye mamlaka ya nafasi ya tatu
"mtawala wa namba ya tatu"
# aliuchukua ufalme
Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "alikuwa mtawala wa ufalme"
# alipokuwa na miaka ipatayo sitini na miwili.
"wakati alipokuwa takribani miaka 62"