# Mkufu wa dhahabu walimvisha shingoni Hii yaweza kuelelzwa kwa muundo tendaji. " Waliuweka mkufu wa dhahabu shingoni mwake" # mtawala mwenye mamlaka ya nafasi ya tatu "mtawala wa namba ya tatu" # aliuchukua ufalme Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "alikuwa mtawala wa ufalme" # alipokuwa na miaka ipatayo sitini na miwili. "wakati alipokuwa takribani miaka 62"