sw_tn/dan/05/11.md

24 lines
704 B
Markdown

# roho ya miungu watakatifu
Malkia aliamini kwamba nguvu za Danieli zilitoka kwa miungu ya uongo ambayo Nebukadneza aliiabudu.
# Katika siku za baba yako
"Wakati ambao baba yako alikuwa akitawala"
# mwanga na weledi na hekima ya miungu ilipatikana ndani yake
Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "alikuwa na mwanga na ufahamu na hekima kama hekima ya miungu"
# Mfalme Nebukadneza, baba yako mfalme
"Baba yako Mfalme Nebukadneza"
# hizi ni sifa zilizopatikana kwa mtu huyu Danieli, ambaye mfalme alimwita Belteshaza.
Muundo tendaji waweza pia kutumika."huyu Danieli ambaye mfalme alimwita Belteshaza, alikuwa na sifa hizi zote."
# kile kilichoandikwa
"kile kilichokuwa kimeandikwa ukatani"